Add parallel Print Page Options

34 Usiku ule watu wawili wataweza kuwa wamelala katika chumba kimoja, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa. 35 Wanawake wawili watakuwa wanasaga nafaka pamoja, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.” 36 [a]

Read full chapter

Footnotes

  1. 17:36 Nakala chache za Kiyunani zimeongeza mstari wa 36: “Watu wawili watakuwa shambani, mmoja atachukuliwa, mwingine ataachwa.”