Add parallel Print Page Options

55 Baadhi ya watu walikoka moto katikati ya ua kisha wakaketi pamoja. Petro naye aliketi pamoja nao. 56 Kutokana na mwanga wa moto, mtumishi wa kike alimwona Petro amekaa pale. Akamtazama Petro usoni kwa makini. Kisha akasema, “Huyu pia alikuwa na yule mtu.”

57 Lakini Petro akasema si kweli. Akasema, “Mwanamke, simfahamu mtu huyo!”

Read full chapter